IN THE WORLDNEWS
  • Mimi na Tanzania
  • Arrisallah
  • Baragumu
  • Mapishi
Wednesday, 22 October 2014 09:09

MCT YAZINDUA MCHAKATO WA MASHINDANO YA SITA YA TUZO LA UANDISHI MAHIRI WA HABARI

Written by 
Rate this item
(0 votes)

Dar es Salaam
Baraza la habari MCT leo limezindua rasmi mchakato wa mashindano ya sita ya tuzo za uandishi mahiri wa habari yanayohusisha makundi 21 baada ya kuongezwa kwa makundi mapya mawili.Akiongea na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Afisa Mwandamizi wa MCT Pili Mtambalike amesema baraza hilo limeanza kupokea taarifa ziliozoandikwa mwaka 2014 ambapo mwisho wa kupokea ni Februari 2015

Ameyataja makundi mapya yaliyojumuishwa kwenye tuzo za mwaka huu kuwa ni uandishi wa habari za Gesi, mafuta na uchimbaji wa madini pamoja na kundi la afya ya mama na mtoto baaada ya kuona kuwa makundi hayo yanaigusa kwa namna moja ama nyingine jamii.

Amewataka waandishi wa habari kuwasilisha kazi zao kwa wakati ili ziweze kufanyiwa kazi kwa muda muafaka.

Aidha amewahamasisha waandishi wa kike kujitokeza kwa wingi na kuongeza kuwa Tuzo za mwaka huu zimeboreshwa zaidi kutokana na uzoefu uliopatikana kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, na kwamba mwaka huu ikiwa ni mara ya sita zitatolewa Mwezi Aprili 2015.
----------------------------------

Read 5380 times
Super User

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Mauris hendrerit justo a massa dapibus a vehicula tellus suscipit. Maecenas non elementum diam.

Website: smartaddons.com

6464 comments

Leave a comment

Make sure you enter the (*) required information where indicated. HTML code is not allowed.

Get connected with Us

Hot events

Style Setting

Fonts

Layouts

Direction

Template Widths

px  %

px  %